• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 30, 2015

  JIBWA LA POLISI LILIPOGIDA MAJI YA UHAI JANA KIRUMBA

  Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania, akimnywesha maji ya Uhai mbwa jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza wakati wa mchezo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Malawi. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
  Kwa utulivu kabisa askari akimmiminia maji mbwa wake Kirumba jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JIBWA LA POLISI LILIPOGIDA MAJI YA UHAI JANA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top