• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 30, 2015

  STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA KIRUMBA

  Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) akimtoka beki wa Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mechi iliisha kwa sare ya 1-1.
  Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Malawi
  Haroun Chanongo akipasua katikati ya mabeki wa Malawi
  Beki wa Tanzania, Aggrey Morris akimdhibiti mshambuliaji wa Malawi
  Shomary Kapombe akitafuta maarifanya kumpita beki wa Malawi
  Mwinyi Kazimoto akiwania mpira dhidi ya kiungo wa Malawi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top