'MIDO' LA COASTAL UNION LALAMBA TUZO LA LIGI KUU NA MILIONI 1 JUU
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) akimkabidhi kiungo wa Coastal Union, Joseph Mahundi (kulia) tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Desemba mwaka jana, leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kabla ya mchezo baina ya timu yake na Azam FC. Tuzo huyo huambatana na zawadi ya Sh. Milioni 1. Azam FC ilishinda 1-0.
0 comments:
Post a Comment