• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 28, 2015

  ASHRAF ALIVYOMLAZA 'KIFUDIFUDI' MKENYA JANA DIAMOND

  Bondia Mtanzania, Ashraf Suleiman kulia akimuadhibu Mkenya Bernard Ardie katika pambano la uzito wa juu usiku wa jana ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Ashraf alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili
  Ashraf akiuacha ulingo baada ya kumkalisha mpinzani wake

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ASHRAF ALIVYOMLAZA 'KIFUDIFUDI' MKENYA JANA DIAMOND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top