• HABARI MPYA

    Sunday, February 09, 2014

    YANGA SC ILIVYOITIMBA KOMOROZINE JANA TAIFA..NGASSA NI BALAAA

    Mshambuiaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia akimtoka beki wa Komorozine ya Comoro katika mchezowa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-0.
    Ngassa akiwatoka mabeki wa Komorozine
    Kiungo wa Yanga SCm Haruna Niyonzima akipambana na beki wa Komorozine
    Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Komorozine
    Mabeki wa Komorozine wakimdhibti kiungo wa ynga SC, Hamisi Kiiza
    Hamisi Kiiza akimtoka beki wa Komorozinr
    Haruna Nitonxima kulia
    Simon Msuva akimtoka beki wa Komorozine
    Kikosi cha Kimorozine
    Kikosi cha Yanga
     Wachezai wa Yaaga wakifurahia ushindi wa 7-0 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOITIMBA KOMOROZINE JANA TAIFA..NGASSA NI BALAAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top