SAPPHIRE COURT HOTEL YAPIGA TAFU TAWI LA YANGA SC KIGAMBONI
Kutoa ni moyo, si utajiri; Mkurugenzi wa hoteli ya Sapphire Court ya Kariakoo, Dar es Salaam wa pili kulia, akiwakabidhi msaada wa fedha viongozi wa tawi la Yanga SC Kigamboni, Dar es Salaam kwa ajili ya ujenzi wa tawi lao, lenye maskani yake eneo la Tuamoyo. Wengine kulia ni Katibu wa tawil Hassan Naivinga na kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Ujenzi, Mzee Machano mwenye kanzu na mwisho kabisa ni Mwenyekiti wa tawil Bakari Bundala.
0 comments:
Post a Comment