WENGINE WANARITHI MALI, LAKINI MTOTO HUYU ANARITHISHWA 'MNYAMA'
Mama huyu na mwanawe, walikuwa Uwanja wa Karume jana ambako Simba B ilikuwa inamenyana na JKT Oljoro katika mchezo wa timu za vijana za klabu za Ligi Kuu ya Bara, Kombe la Uhai. Simba ilishinda 3-0
Wengine wanarithi mali, lakini huyo mtoto anarithishwa kuipenda Simba SC
0 comments:
Post a Comment