• HABARI MPYA

    Friday, November 15, 2013

    KILI STARS YAPANGWA NA ZAMBIA, BURUNDI CHALLENGE 2013

    Na Prince Akbar, Dar es Salaam
    TANZANIA Bara maarufu kama Kilimanjaro Stars imepangwa katika Kundi B kwenye michuano ya CECAFA Challenge pamoja na Zambia, Burundi na Somalia.
    Katika michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Novemba 27 mjini Nairobi, Kenya, wenyeji Harambee Stars wamepangwa na Ethiopia, Zanzibar na Sudan Kusini katika Kundi A.
    Mabingwa watetezi, Uganda wamepangwa Kundi C pamoja na Rwanda, Sudan na Eritrea. Ratiba ya michuano hiyo inatarajiwa kutolewa wiki ijayo.
    Kikosi cha Taifa Stars amacho kinaundwa na wachezaji wengi wa Bara

    MAKUNDI CHALLENGE 2013:
    KUNDI A- Kenya, Ethiopia, Zanzibar, South Sudan
    KUNDI B- Tanzania, Zambia, Burundi and Somalia
    KUNDI C- Uganda, Rwanda, Sudan and Eritrea.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KILI STARS YAPANGWA NA ZAMBIA, BURUNDI CHALLENGE 2013 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top