• HABARI MPYA

    Friday, November 15, 2013

    BONGE LA VITA RONALDO NA IBRAHIMOVIC LEO KUWANIA TIKETI YA BRAZIL MWAKANI

    NYASI za Uwanja wa Estadio da Luz mjini Lisbon, Ureno zitawaka moto leo kwa mpambano baina ya wenyeji dhidi ya Sweden kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani Brazil.
    Huo utakuwa mchezo wa kwanza wa mchujo na wa pili utachezwa mjini Stockholm, Sweden Jumanne ijayo, ambako mshindi wa matokeo ya jumla ndiye atakayekwenda Brazil. Ni mechi ambayo itawakutanisha wachezaji wawili maarufu duniani, Cristiano Ronaldo wa Ureno na Zlatan Ibrahimovic wa Sweden. 
    Wazi nyota kweli ni yule ambaye ataiasaidia timu yake kupata tiketi ya kwenda Brazil.

    Mwenye mpira: Cristiano Ronaldo (kushoto) akiwa mazoezini na Ureno, akifanya vitu vyake huku Helder Postiga akimuangalia
    Silky touch: Zlatan Ibrahimovic controls the ball as Sweden prepare to take on Portugal
    Mpira mguuni: Zlatan Ibrahimovic akimiliki mpira katika mazoezi ya Sweden kujiandaa kuivaa Ureno

    "Zlatan kwangu ni namba moja duniani," amesema kocha wa Sweden, Erik Hamren jana usiku baada ya kutua Ureno.
    "Ni mchezaji wa kiwango cha dunia, ni hodha wangu na anachezea Sweden. Nasema kwamba ni bora sana.".
    Wakati huo huo, mchezaji mwenzake Ronaldo, Pepe ametoa maoni yake katika mjadala huo. "Wao ni wachezaji wawili wakubwa, lakini hakuna cha kufananisha na anachokifanya Cristiano," alisema beki huyo wa Real Madrid. "Ana takwimu ambazo kufikiria na ni bora duniani. Hakuna cha kufananisha,".
    Portugal's defender Pepe heads a ball during a training session
    Sweden's coach Erik Hamren
    Vita ya meneno: Beki wa Ureno, Pepe (kushoto) na kocha wa Sweden, Erik Hamren wametoa maoni tofauti kuhusu wawili hao
    Payback: Ronaldo, with boss Paulo Bento failed to take a penalty at Euro 2012 against Spain
    Ronaldo akiwa na kocha Paulo Bento baada ya kukosa penalti katika Euro 2012 dhidi ya Hispania
    Weight of a nation: Ibrahimovic frequently carries Sweden's hopes on his shoulders
    Ibrahimovic amebeba matumaini ya Sweden mabegani mwake
    Ronaldo celebrating
    Making his point: Ibrahimovic can also decide games on his own
    Wote Ronaldo (kushoto) na Ibrahimovic wanaingia kwenyemechi hiyo wakiwa wapo vizuri na wametoka kuzibeba klabu zao
    Wide open: Ronaldo is still Real Madrid's key asset, celebrating last weekend
    Lakini nani atakosa Fainali za Kombe la Dunia kati yao?
    Tail end: The Sweden star in his current state - complete with ponytail - for PSG
    Ronaldo au Ibrahimovic? Jibu kamili litapatikana Jumanne ijayo Stockholm.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BONGE LA VITA RONALDO NA IBRAHIMOVIC LEO KUWANIA TIKETI YA BRAZIL MWAKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top