• HABARI MPYA

    Monday, November 18, 2013

    BONANZA LA NANI MTANI JEMBE LILIVYOFANA TUNDUMA

    Bendi ya High Class ya mjini tunduma ikutumbuiza wapenzi wa kampeni ya nani mtani jembe katika bonanza lililo fanyika mwishoni mwa wiki kwenye uwanja wa shule ya msingi tunduma.

    Mashabiki wa Simba wakifurahia kampeni ya nani mtani jembe katika bonanza lililo jaa mashaiiki lukuki mjini tunduma.


    Mgeni rasimi mkuu wa Wilaya ya Momba Abihud Saidea akifungua michezo ya bonanza katika uwanja wa shule ya msingi tunduma mbele yake kukiwa na kamba ya kuvuta kamaishara ya uzinduzi. 

    Simba na Yanga wakivutana kamba

    Kikosi cha Simba

    Kikosi cha Yanga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BONANZA LA NANI MTANI JEMBE LILIVYOFANA TUNDUMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top