MWAIKIMBA MKALI ASIYE NA UHUHIMU AZAM FC, AKIPEWA NAFASI ANAFUNGA, LAKINI...
Gaudence Mwaikimba ni mshambuliaji ambaye kila akipangwa huwa anafunga mabao Azam FC, lakini bado umuhimu wake umekuwa hauonekani mbele ya kocha Stewart John Hall na amekuwa akimtupa benchi kwa muda mrefu. Mwanzoni mwa msimu wakati timu hiyo inakabiliwa na majeruhi wengi, Mwaikimba alikuwa anapangwa na kufungwa, ila tangu wachezaji karibu wote chaguo la kwanza wapone, Gau tena hasomeki, hata kupewa dakika tano za mwisho hapati bahati hiyo.
0 comments:
Post a Comment