MALINZI ANAPOKAGUA MPIRA BAADA YA KUINGIA OFISINI TFF
Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi akiuangalia kwa makini mpira wakati wa hafla ya kukaidhiwa kwake ofisi na Rais aliyemaliza muda wake, Leodegar Chilla Tenga, Jumamosi Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment