Rais aliyemaliza muda wake Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga kulia akiwa na Rais mpya, Jamal Malinzi kushoto. Marais wote hawa hawana pete za ndoa katika vidole vyao kama ambavyo unaweza kuona mikono yao yote pichani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ana pete yake ndoa
Au Marais wa soka hawaruhusiwi kuvaa pete za ndoa? Ona Rais wa FIFA naye Seppe Blatter
0 comments:
Post a Comment