Mshambuliaji Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 66 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Andreas Pereira dakika ya 17 na Davy Propper aliyejifunga dakika ya 19, wakati la Brighton limefungwa na Lewis Dunk PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Australian Open: Players told not to feed mice while in Covid quarantine
-
Australian Open players are told not to feed mice at their quarantine hotel
in Melbourne after one player complains of rodent infestation.
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment