• HABARI MPYA

  Saturday, March 10, 2018

  WANYAMA AWABWAGA SALAH, AGUERO TUZO YA BAO BORA ENGLAND

  Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama wa Tottenham Hotspur akiwa ameshika tuzo yake ya Bao Bora la Mwezi Ligi Kuu ya England alilofunga kwenye mechi dhidi ya Liverpool. Wanyama amewashinda Danilo, Mario Lemina, Jose Izquierdo (twice), Mohamed Salah, Sergio Aguero na Adam Smith kutwaa tuzo hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WANYAMA AWABWAGA SALAH, AGUERO TUZO YA BAO BORA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top