• HABARI MPYA

  Tuesday, March 06, 2018

  RONALDO ALIVYO TAYARI KWA SHUGHULI NA PSG LEO PARIS

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa Real Madrid Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa jana kujiandaa na mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Paris Saint Germain leo wakihitaji kuulinda ushindi wao wa 3-1 kwenye mchezo wa kwanza mjini Madrid wiki mbili zilizopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO ALIVYO TAYARI KWA SHUGHULI NA PSG LEO PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top