• HABARI MPYA

    Wednesday, March 07, 2018

    LIVERPOOL YAMALIZANA KWA SARE NA PORTO, 0-0 ANFIELD

    Sadio Mane wa Liverpool akiruka juu kuwania mpira katikati ya wachezaji wa Porto usiku wa Jumanne katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Anfield. Liverpool inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-0 ilizozipata kwenye mchezo wa kwanza mjini Porto PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAMALIZANA KWA SARE NA PORTO, 0-0 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top