• HABARI MPYA

  Thursday, March 08, 2018

  HAPA MAGORI ALIKUWA ANAMUANGALIA NANI JICHO HILI..NA UNAFIKIRI KWA SABABU GANI?

  Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Crescentius Magori (katikati) akifuatilia mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Al Masry jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 2-2 
  Hapa ni mkusanyiko wa vigogo wa Simba SC, wakiongozwa na kaimu Rais, Salim Abdallah 'Try Again'  
  Kulia kabisa ni aliyekuwa Mfadhili wa Simba SC wakati inafika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993
  Hapa ni wakati Al Masry wanaongoza kwa mabao 2-1 
  Wakifuatilia kwa utulivu mchezo huo jana wadau mbalimbali wa Simba SC, kushoto ni Hajji Sunday Manara
  Muslah Al Ruwaih wa pili kushoto akifuatilia mchezo jana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAPA MAGORI ALIKUWA ANAMUANGALIA NANI JICHO HILI..NA UNAFIKIRI KWA SABABU GANI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top