• HABARI MPYA

    Thursday, March 08, 2018

    ARSENAL YANG'ARA ULAYA, YAITANDIKA AC MILAN 2-0 GUISEPPE MEAZZA

    Aaron Ramsey (kushoto) akikimbia kushangilia na Danny Welbeck (kulia) baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 45 na ushei ikiwalaza wenyeji, AC Milan 2-0 Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan kufuatia Henrikh Mkhitaryan kufunga la kwanza dakika ya 15 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Europa League usiku huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YANG'ARA ULAYA, YAITANDIKA AC MILAN 2-0 GUISEPPE MEAZZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top