• HABARI MPYA

    Sunday, February 04, 2018

    PIQUE AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA NA ESPANYOL, SARE 1-1

    Mshambuliaji Luis Suarez akiwa amemrukia mgongoni Gerard Pique kumpongeza beki huyo kwa kufunga bao la kusawazisha dakika ya 82 katika sare ya 1-1 na Espanyol kufuatia Gerard Moreno kuwafungia wenyeji bao la kuongoza dakika ya 66 kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PIQUE AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA NA ESPANYOL, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top