Mshambuliaji Luis Suarez akiwa amemrukia mgongoni Gerard Pique kumpongeza beki huyo kwa kufunga bao la kusawazisha dakika ya 82 katika sare ya 1-1 na Espanyol kufuatia Gerard Moreno kuwafungia wenyeji bao la kuongoza dakika ya 66 kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hire, fire, final - Chelsea's player power may be ugly, but it wins
-
Chelsea are in another FA Cup final - but only after their players showed
up in a way they were no longer doing for Liam Rosenior, writes Phil
McNulty.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment