• HABARI MPYA

    Thursday, January 12, 2017

    SOUTHAMPTON YAIPIGA 1-0 LIVERPOOL NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI

    Nathan Redmond akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Southampton bao pekee dakika ya 20 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Liverpool kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa St Mary's PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SOUTHAMPTON YAIPIGA 1-0 LIVERPOOL NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top