• HABARI MPYA

  Friday, January 13, 2017

  REAL MADRID WAIFUATA BARCA ROBO FAINALI KOMBE LA MFALME

  Sergio Ramos akishangilia baada ya kuiwezesha Real Madrid kutinga Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey kufuatia sare ya 3-3 na wenyeji Sevilla Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan. Mabao ya Sevilla yalifungwa na Danilo aliyejifunga dakika ya 10, Jovetic dakika ya 53 na Iborra dakika ya 77 wakati ya Real yalifungwa na Asensio dakika ya 48, Ramos dakika ya 83 na Benzema dakika ya 90, hivyo Real kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 6-3 baada ya awali kushinda 3-0 Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID WAIFUATA BARCA ROBO FAINALI KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top