• HABARI MPYA

    Tuesday, January 03, 2017

    AZAM NA ZIMAMOTO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN

    Mshambuliaji wa Azam FC, Yahya Mohammed akiwatokaa wachezaji wa Zimamoto katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 1-0
    Mshambuliaji wa Azam FC, Saamuel Afful (kushoto) akimtoka beki wa Zimamoto
    Winga wa Azam FC, Enock Atta Agyei akiambaa na mpira pembezoni mwa Uwanja wa Amaan 
    Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni (kulia) akipiga krosi kwa guu la kulia kwenye wingi ya kushoto
    Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Zimamoto
    Kikosi cha Azam kilichoanza kwenye mechi ya jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM NA ZIMAMOTO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top