• HABARI MPYA

  Monday, January 03, 2022

  ‘FUNDI’ AJIBU AANZA RASMI KAZI AZAM FC


  NYOTA mpya wa Azam FC, Ibrahim Ajib akifanya mazoezi ya kwanza na timu hiyo leo visiwani Zanzibar baada ya kusajiliwa kutoka Simba SC.
  Azam FC ipo Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, na leo asubuhi imefanya mazoezi ya mwisho kabla ya kesho Jumanne kumenyana na Meli 4 City kwenye Uwanja wa Amaan Saa 2.15 usiku.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ‘FUNDI’ AJIBU AANZA RASMI KAZI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top