• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 02, 2020

  SPORTPESA YAWAZAWADIA SIMBA SC SH MILIONI 100 KWA KUTWAA TAJI LA TATUMFULULIZO LIGI KUU

  Wadhamini wakuu wa klabu ya Simba SC, Sport Pesa Tanzania wakiwakabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Milioni 100, Nahodha wa klabu hiyo, John Raphael Bocco baada ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululzo. Fedha hizo zimetolewa kama sehemu ya makubaliano ya mkataba wa udhamini uliosainiwa mwaka 2017 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SPORTPESA YAWAZAWADIA SIMBA SC SH MILIONI 100 KWA KUTWAA TAJI LA TATUMFULULIZO LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top