• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 01, 2020

  RONALDO AFUNGA JUVENTUS YAICHAPA GENOA 3-1 SERIE A

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Juventus dakika ya 56 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Genoa kwenye mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Comunale Luigi Ferraris. Mabao mengine ya Juventus yalifungwa na Paulo Dybala dakika ya 50 na Douglas Costa dakika ya 73 wakati la Genoa lilifungwa naAndrea Pinamonti dakika ya 76. 
  Kwa ushindi huo, Juventus inafikisha pointi 72 baada ya kucheza mechi 29 ikiendelea kuongoza Serie A kwa pointi nne zaidi ya Lazio inayofuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
        
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA JUVENTUS YAICHAPA GENOA 3-1 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top