• HABARI MPYA

  Thursday, January 09, 2020

  AZAM FC WALIVYOJIFUA LEO KUJIANDAA NA MECHI DHIDI YA SIMBA KESHO NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

  Beki wa Azam FC, Yakubu Mohamed akijifua leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mchezo wa kesho wa Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba SC 
  Kiungo Mudathir Yahya akijifua leo kwenye mazoezi ya Azam FC 
  Beki Bruce Kangwa akifuatilia jambo kwa makini leo mazoezini
  Kocha Mromania, Aristica Cioaba akiwa kazini leo Uwanja wa Amaan  
  Kipa Razack Abalora akiwa amedaka mpira leo mazoezini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOJIFUA LEO KUJIANDAA NA MECHI DHIDI YA SIMBA KESHO NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top