• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 06, 2019

  LIVERPOOL YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakia ya 53 ikiilaza KRC Genk 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la kwanza la Liverpool lilifungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 14, wakati la Genk lilifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 40 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top