• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 06, 2019

  CHELSEA CHUPUCHUPU KUGONGWA NYUMBANI NA AJAX, ZATOKA SARE 4-4

  Reece James akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya 74 ikitoa sare ya 4-4 na Ajax Uwanja wa Stamford Bridge mjini London katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Jorginho mawili yote kwa penalti dakika ya nne nan 71 na Cesar Azpilicueta dakika ya 63, wakati ya Ajax yalifungwa na Tammy Abraham aliyejifunga dakika ya pili, Quincy Promes dakika ya 20, Kepa Arrizabalaga aliyejifunga baada ya kubabatizwa na mpira uliopigwa na Hakim Ziyech dakika ya 35 na Donny van de Beek dakika ya 55. Hata hivyo, refa Mtaliano Gianluca Rocchi alikataa bao la The Blues lililofungwa na Cesar Azpilicueta baadaye 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA CHUPUCHUPU KUGONGWA NYUMBANI NA AJAX, ZATOKA SARE 4-4 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top