• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 06, 2019

  BARCA YALAZIMISHWA SARE NA SLAVIA PRAHA 0-0 CAMP NOU

  Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akiwa haamini macho yake baada ya kukosa bao la wazi timu yake ikilazimishwa sare ya 0-0 na Slavia Praha katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou, hiyo ikiwa ni sare ya kwanza nyumbani tangu Februari 2018 ambayo inazidi kumuweka katika wakati mgumu kocha Ernesto Valverde 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCA YALAZIMISHWA SARE NA SLAVIA PRAHA 0-0 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top