• HABARI MPYA

        Wednesday, May 01, 2019

        AJAX YAITANDIKA TOTTENHAM HOTSPUR 1-0 PALE PALE LONDON

        Kipa Hugo Lloris wa Tottenham Hotspur akijaribu bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Donny van de Beek kuipatia bao pekee la ushindi Ajax dakika ya 15 ikiwalaza wenyeji 1-0 katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Timu hizo zitarudiana Mei 8 na mshindi wa jumla atakuwa atakutana na mshindi wa jumla baina ya Barcelona na Liverpool kwenye fainali Juni 1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AJAX YAITANDIKA TOTTENHAM HOTSPUR 1-0 PALE PALE LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry