Nahodha wa Manchester United leo, Paul Pogba akiifungia kwa penalti bao la kwanza Manchester United dakika ya tatu baada ya Daniel Amartey wa Leicester City kuunawa mpira kwenye boksi. United imeanza vyema Ligi kwa ushindi wa 2-1, bao la pili likifungwa na Luke Shaw dakika ya 83, kabla Jamie Vardy kuifungia la kufutia machozi Leicester dakika ya 90 ushei Uwanja wa Old Trafford leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment