Kikosi cha Yanga SC kilichoundwa upya mwaka 1995 baada ya kuvunjwa kwa kikosi kilichofungwa 4-1 na Simba SC mwaka 1994. Kikosi hicho kiliundwa kwa mseto wa wachezaji waliopandishwa kutoka timu ya vijana, maarufu kama Yanga, ambayo kocha Tambwe Leya (sasa marehemu) alikipa jina Black Stars, saba waliobaki kutoka kutoka kikosi cha 1994 na wachache waliosajiliwa kutoka timu mbalimbali, wakiwemo James Tungaraza kutoka Sigara (sasa marehemu), Bakari Malima, Reuben Mgaza, Mahmoud Nyalusi (marehemu pia), Benny Luoga (marehemu), Vincent Peter, Peter Louis na wengineo. Kikosi hiki kilikwenda kufika Robo Fainali ya iliyokuwa michuano ya Kombe la Washindi Afrika mwaka 1995.
UN chief condemns xenophobia, demands action from South Africa
-
The United Nations Secretary General, António Guterres has strongly
condemned rising xenophobic attacks in South Africa and urged authorities
to take dec...
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment