Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akiruka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 59 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates mjini London, mabao mengine yakifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya nane na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Boy, 15, charged with murder of girl, 9
-
Aria Thorpe was pronounced dead at a house in Weston-super-Mare on Monday
evening.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment