Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Aristide Bance (kushoto) akiwa mazoezini na mchezaji mwenzake wa klabu ya Al Masry ya Misri jana Uwanja wa Gymkhana mjini Dar es Salaam kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba SC Jumatano
Al Masry walifanya mazoezi ufukweni mwa Bahari ya Hindi jana
Wachezaji wake walionekana ni wenye kujiamini pamoja na kuwa ugenini
Kocha wa Al Masry, Hossam Hassan (wa pili kulia) akijadiliana na wasaidizi wake
Wachezaji wa Al Masry wakati wanavaa kuingia mazoezini
Tangu wamefika nchini wanatumia basi la klabu ya Azam FC
Gary Neville gives his verdict on the touchline spat between Mo Salah and
Jurgen Klopp as the Man United legend insists 'there will only be ONE
winner' from the fiery clash
-
Liverpool's problems were highlighted at the London Stadium over the
weekend when Klopp and Salah could be seen getting visibly angry with each
other befor...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment