Mshambuliaji Robin van Persie akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Feyenoord dakika ya 78 kufuatia kutokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Jens Toornstra timu hiyo ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Groningen kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uholanzi, maarufu kama Eredivisie usiku wa jana Uwanja wa Feyenoord mjini Rotterdam. Mabao mengine ya Feyenoord yalifungwa na Jens Toornstra dakika ya 53 na Jerry St Juste dakika ya 72 na ikumbukwe, Van Persei mwenye umri wa miaka 34 sasa amerejea Januari timu hiyo iliyomuibua kisoka kabla ya kumuuza Arsenal mwaka 2004 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment