Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 35 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Juventus kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao lingine la la Spurs lilifungwa na Christian Eriksen dakika ya 71, baada ya Juventus kutangulia kwa mabao ya Gonzalo Higuain dakika ya pili na ya tisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment