Ilkay Gundogan akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester City dakika za 14 na 53 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, FC Basle kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa St. Jakob-Park, Basel. Mabao mengine ya City yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 18 na Sergio Aguero dakika ya 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment