Washambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku (kushoto) na Alexis Sanchez (kulia) wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Lukaku alifunga bao la kwanza dakika ya 55 akimalizia pasi ya Juan Mata wakati Sanchez alifunga la pili dakika ya 68 akiuwahi mpira uliookolewa na kipa Jonas Lossl baada ya shuti lake la penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Agyemang-Badu certain Ghana will qualify for 2026 World Cup
-
Former Ghana international, Emmanuel Agyemang-Badu, has expressed optimism
about Black Stars' chances of qualifying for the 2026 World Cup.Ghana
revived th...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment