Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Huruma Mkuchika (kulia) akisalimiana na kocha wa Yanga, George Lwandamina kabla ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Saint Louis Suns United jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
Kapteni Gerge Huruma Mkuchika alianza kwa kusalimiana na wachezaji wa Yanga
Quince shoppers love these $60 linen pants with 12,000+ reviews — but how
well do they wash and wear? I put them to the test
-
“These are the perfect staples to have in your closet!"
31 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment