Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akinyoosha mguu kuondosha mpira katika hatari kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0
Kiungo wa Azam, Mudathir Yahya akimiliki mpira mbele ya Kamusoko wa Yanga
Viungo Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam (kushoto) na Said Juma 'Makapu' wa Yanga (kulia)
Mshambuliaji wa Yanga, Francis Chirwa akiwatoka walinzi wa Azam, Aggrey Morris (kushoto) na Jean Mugiraneza (kulia)
Kungo wa Yanga, Deus Kaseke (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Azam, Ya Thomas Gonazo
Wachezaji wa Yanga na Azam wakidhibitiana jana Uwanja wa Uhuru
Winga wa Yanga, Godfrey Mwashiuya akimtoka kiungo wa Azam, Frank Domayo
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) na beki wa Azam, Daneil Amoah (kulia)
Kikosi cha Azam jana Uwanja wa Uhuru
Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Uhuru












.png)
0 comments:
Post a Comment