• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 27, 2016

  YANGA NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA UHURU

  Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akimruka beki wa JKT Ruvu, Nurdin Mohammed katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-0 
  Nurdin Mohammed hapa akimdhibiti mshambuliaji mwingine wa Yanga, Donald Ngoma
  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwatoka wachezaji wa JKT Ruvu
  Winga wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu, Salim Aziz Gilla
  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiupigia hesabu mpira nyuma ya kiungo wa JKT Ruvu, Rahim Juma 
  Obrey Chirwa akienda chini baada ya kukwatuliwa na Kassim Kisengo wa JKT Ruvu
  Beki Hassan Ramadhani Kessy akimtoka Pera Mavuo wa JKT Ruvu
  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimpira beki wa JKT Ruvu, Salim Aziz Gilla
  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akipiga mpira pembeni ya mchezaji wa JKT Ruvu 
  Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wao jana pembeni ya refa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top