• HABARI MPYA

  Friday, October 28, 2016

  THOM ULIMWENGU AKIJIFUA KIVYAKE MCHANGANI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu akifanya mazoezi ufukweni eneo la Msasani, Dar es Salaam. Ulimwengu ni mchezaji huru kwa sasa baada ya kumaliza Mkataba wake TP Mazembe wiki iliyoita na anashughulikia mpango wa kwenda Ulaya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: THOM ULIMWENGU AKIJIFUA KIVYAKE MCHANGANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top