Cristiano Ronaldo wa Real Madrid akimtoka Aymeric Laporte wa Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa Santiago Bernabeu. Real ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Karim Benzema na Alvaro Morata, wakati la Bilbao lilifungwa na Sabin Merino PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment