• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 26, 2016

  LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND

  Daniel Sturridge akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kufunga mabao yote ya Liverpool katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa 16 Bora ya Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Anfield. Bao la Spurs lilifungwa na Vincent Janssen kwa penalti zikiwa zimebaki dakika 14 baada ya Erik Lamela kuangushwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top