Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-0 wa Barcelona dhidi ya Manchester City usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Camp Nou. Bao lingine la Barca lilifungwa na Neymar ambaye pia alikosa penalti kwenye mchezo huo ambao wachezaji wawili walitolewa kwa kadi nyekundu, kipa wa Man City Claudio Bravo dakika ya 53 kwa kudakia nje ya boksi na Jeremy Mathieu wa Barcelona baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'No-one's going to explode' - Enhanced chief says Games will change minds
-
The first staging of the Enhanced Games - an event allowing the use of
banned performance-enhancing drugs - will change perceptions says its new
chief exec...
37 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment