Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akiteleza uwanjani kushangilia baada ya kufunga mabao mawili Manchester United, moja kwa penalti katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Fenerbahce ya Uturuki kwenye mchezo wa Kundi A Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yalifungwa na Anthony Martial kwa penalti na Jesse Lingard, wakati la wageni lilifungwa na nyota wa zamani wa Mashetani hao Wekundu, Robin van Persie PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment