• HABARI MPYA

  Monday, October 24, 2016

  SIMBA NA TOTO AFRICANS KATIKA PICHA JANA UHURU

  Beki wa Toto Africans ya Mwanza, Yussuf Mgeta (kushoto) akimdhibiti mshambuliaji wa Simba, Frederick Blagnon (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam 
  Mshambuliaji wa Toto (kulia), Waziri Junior akimtoka kiungo wa Simba, Jonas Mkude
  Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akimiliki mpira chini mbele ya beki wa Toto, Salum Chuku
  Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (kushoto) akiambaa na mpira
  Mshambuliaji wa Toto, Waziri Junior akiupigia hesabu mpira mbele ya beki wa Simba, Method Mwanjali
  Kiungo wa Simba, Mohamed 'Mo' Ibrahim akitia krosi mbele ya beki wa Toto, Yussuf Mgeta
  Winga wa Simba, Shizza Kichuya akitafuta maarifa ya kumpita Salum Chuku wa Toto  
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kulia) akimdhibiti kiungo wa Toto, Jaffar Mohammed
  Kikosi cha Simba SC jana
  Kikosi cha Yanga jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA TOTO AFRICANS KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top