BOCCO AKABIDHIWA MKWANJA WAKE WA TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI KUU SEPTEMBA
Nahodha wa Azam FC, John Bocco akikabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 kwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mwezi Septemba leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kabla ya mchezo wa ligi hiyo baina ya timu yake hiyo na Yanga uliomalizika kwa sare ya 0-0
0 comments:
Post a Comment